Mshindi wa Big Brother Idris Sultan Atuhumiwa Kuvaa Saa Feki na Kuringishia...
Page maarufu ya Fake Watch Busta kutoka Mtandao wa Instagram imeibuka na tuhuma kuwa mshindi wa Big Brother Africa 2014 amevaa saa feki , mtandao huo ambao kazi yake ni kuweka wazi mastaa wanaovaa saa...
View Article50 Cent Admits That He Lied About Owning a Home in Africa....
Remember when 50 Cent boasted that he was almost done with building a home in Africa (he never said where in Africa) and said he was going to have the craziest house warming party ever? Well, he has...
View ArticleKasi ya Magufuli Yamkuna Rais wa Rwanda Paul Kagame...Aamua Kumuiga Kwa...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema kuwa atapunguza safari za nje za watumishi wa umma. Apongeza hatua anazochukua Rais Magufuli. Ameyasema hayo Jana wakati wa akiwahutubia viongozi mbalimbali wa...
View ArticleKIMENUKA Tena Pemba...Kituo cha Afya, Maskani ya CCM na Nyumba za Wananchi...
Zikiwa zimebakia siku saba kufanyika marudio ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar, kumejitokeza viasharia vya uvunjifu wa amani kwa kuharibiwa majengo ya Serikali na nyumba za watu binafsi.Usiku wa kuamkia...
View ArticleMastaa wa Muziki Diamond Platnumz na Fid Q Watakiwa Kurudi Mikoani Kwao...
Staa wa muziki nchini Naseeb Abdul Juma a.k.a Diamond Platnumz ametakiwa kutoka Jijini Dar es salaam na kurejea Mkoani Kigoma alikozaliwa, ili kuwasaidia Wasanii chipukizi katika Mkoa huo.Mbali na...
View ArticleJIPU la Uchaguzi wa Meya Jijini Dar es Salaam....Waziri Atoa Amri Uchaguzi...
Hatimaye Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), George Simbachawene amemaliza mzozo wa uchaguzi wa meya wa Jiji la Dar es Salaam baada ya kuagiza ufanyike kabla ya Machi 25 na kutaja sifa za...
View ArticleBreaking News: Rais Magufuli Afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa 26....Kati Yao...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakuu wa Mikoa 26 ya Tanzania Bara, ambapo kati yao 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, 5...
View ArticlePaul Makonda Aula..Apewa Ukuu wa Mkoa Dar es Salaam..Uteuzi wake Umekuwa Gumzo
Juhudi za Paul Makonda zaonekana kwa Rais Magufuli...Apewa Ukuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.....Uteuzi wake wawa Gumzo mitandaoni watu mbali mbali wakimpongeza
View ArticleLulu: Hakuna Ushirikina Kwenye Ushindi Wangu....Adai Toka Utoto wake yeye...
Lulu amesema kuwa haamini ushirikina wala hajawahi kufanya kazi yoyote katika ushirikina kuanzia utoto wake.Amefunguka hayo usiku wa kuamkia jana kupitia Friday Night Live ya EATV na EA Radio baada ya...
View ArticleMr. Nice Alitumwa na Mungu Kuja Kuninyanyua Mimi - Wabogojo Afunguka
Wabogojo amesema Mr. Nice ndiye alimtoa kwenye na kumfanya kuanza kujulikana kwa watu, hivyo kwake ni sawa na bosi wake na kila akirudi hapa nchini lazima aende nyumbani kwake kujua anaendeleaje na...
View ArticleNimekasirika Kupata Hii Tuzo Kutoka Nigeria - Richie Afunguka Adai Alitaka...
Richie ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Weekend Breakfast siku ya jumapili,, na kusema kuwa baada ya filamu yake kuingia kwenye hizo category mbili aliamini yeye anaweza hivyo...
View ArticleDiamond Platnumz Amtumia Salamu za Pongezi PAUL Makonda Baada ya Kuteuliwa...
Mwanamuziki Mwenye mafanikio makubwa katika mziki wa Bongo flava ametuma salamu za pongezi kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika haya:Mafanikio hujaga kwa juhudi na kuto kukata tamaa......
View ArticleWafanyakazi Waliofukuzwa NIDA Wagoma Kupokea Barua Za Kuachishwa Kazi
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) waliofutiwa mikataba ya kazi, wamegoma kupokea barua za kuachishwa kazi wakidai kwamba hawajui kilichoandikwa kuhusu hatima ya madai...
View ArticleHaya Hapa Matokea ya Mechi ya Simba na Prison ya Mbeya Iliyochezwa Leo...
Wakati watani zao wa jadi Yanga wamemaliza kucheza mchezo wao wa kwanza wa raundi ya pili katika michuano ya klabu bingwa Afrika dhidi ya APR ya Rwanda kwa ushindi wa goli 2-1 March 12, Simba wao...
View ArticleNyota ya Mbwana Samatta Yazidi Kung'aa Genk...Afunga Goli Moja Kati ya Manne...
Mbwana kafanya yake leo kaanza kipindi cha kwanza kafunga goal moja dakika ya 24 , Mpira Umeisha Muda si mrefu. Mechi ilikuwa kati ya Genk vs OostendeMatokeo ya mwisho Genk 4 , Oostende 1
View ArticleTazama Hapa Video ya Goli la Mbwana Samatta Alilopachika Katika Mechi ya leo...
Kwa mara ya kwanza klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji ambayo inaongozwa na kocha lakini inachezewa na nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta, imempa nafasi ya kuanza katika mchezo wa leo...
View ArticleWaajiri na Wadaiwa wa Mikopo ya Elimu ya Juu Wapewa siku 60.....HESLB yatoa...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inatoa siku 60 kuanzia tarehe 14 Machi, 2016 kwa wanufaika wote wa mikopo wanaodaiwa na HESLB kujitokeza na kuanza kulipa madeni yao kabla ya...
View ArticleMajibizano Makali kati ya Chris Brown na Ex wake Karrueche Tran yako Hapa
Chris Brown na Ex wa Karrueche Tran wamejibizana instagram hivi karibuni. Hii imetoakea baad aya CHris Brown kumtaja Karrueche Tran kwenye remix ya wimbo wake wa ‘Back To Sleep’.
View ArticleLOWASSA na MBOWE Waongoza Mafuriko ya Kumtambulisha Katibu Mkuu Mpya wa...
Picha za awali za tambulisho wa Katibu mkuu wa CHADEMA Ndg Dr Vincent Mashinji uliofanyika leo jijini Mwanza mara baada ya hapo jana kuchaguliwa rasmi kuibba mikoba ya ukatibu mkuu wa CHADEMA...
View ArticleNafasi za Kazi Equity for Tanzania Limited, Application Deadline 16th March,...
EQUITY FOR TANZANIA LIMITED (EFTA)JOB VACANCIESOrganizationEquity for Tanzania Limited (EFTA) is an award-winning equipment finance company which provides equipment loans to small, medium and growing...
View Article