$ 0 0 Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema kuwa atapunguza safari za nje za watumishi wa umma. Apongeza hatua anazochukua Rais Magufuli. Ameyasema hayo Jana wakati wa akiwahutubia viongozi mbalimbali wa Serikali yake