$ 0 0 Chris Brown na Ex wa Karrueche Tran wamejibizana instagram hivi karibuni. Hii imetoakea baad aya CHris Brown kumtaja Karrueche Tran kwenye remix ya wimbo wake wa ‘Back To Sleep’.