Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL BLOG
Browsing all 1545 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hizi ni Simu zitakazokosa Huduma ya Whatsapp...

Huduma ya WhatsApp haitatumika tena katika simu zinazotumia mifumo kadha ya programu ikiwemo Blackberry 10, Nokia Symbian S60 na Windows Phone 7.1.Kampuni ya Facebook inayomiliki huduma hiyo imesema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamuziki Roma Mkatoliki Kafunga ndoa Jana Kwao Tanga.....

Roma Mkatoliki ni msanii maarufu wa hiphop Tanzania ambaye kwenye upande wa pili wa maisha ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa longtime ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) na April 9 2016 ndoa imefungwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mange Amshukia RAY C Sakata la Matumizi ya Madawa ya Kulevya..Atoboa Siri ya...

Katika Jitihada za kumsaidia Ray C , Mange Kimambi Amefunguka Haya Hapa Chini:"Confirmed news, Ray C ametolewa kwenye program ya kunywa dawa ya Methadone Mwananyamala Hospital. Alikuwa kila akipimwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mambo Matatu ya Muhimu Unayoweza Kufanya ili Kumdatisha Mpenzi Wako Bila...

Na Martha MagawaNikikuuliza unapenda kipi kutoka kwa mpenzi wako najua wengi watatoa majibu tofauti tofauti wapo watakao sema, mcheshi, anamvuto napenda anavyotabasamu na vitu vingine kama hivyo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Warembo Kumi Wanaofatiliwa na Kuandikwa Zaidi na Vyombo vya Habari Afrika...

Inaweza ikawa mara ya kwanza kusikia neno”Socialite”,au pengine umeshawahi kusikia mtu akizielezea sifa za mtu kwa kumuita “Socialite person”,ila kwa kifupi “Socialite” ni neno la kingereza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msanii Mwigine wa Bongo Anayeteketea Kwa Madawa ya Kulevya Huyu Hapa....

Wauza unga kuweni na huruma kwa watanzania wenzetu,yule Dogo Mfaume wa enzi zile za "kazi yangu ya dukani" ndo basi tena sasa hivi kashakua teja....daah vipaji vya ukweli vinazidi kupotea kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msafara wa Rais Magufuli Kutozidi watu 10.....Balozi Mahega Asema Anategemea...

Rais John Magufuli anataraji kusafiri tena kwenda nje ya nchi hivi karibuni akiwa na msafara ambao unawezekana usizidi jumla ya watu 10.Ilimchukua Rais Magufuli siku 153 tangu kuapishwa kwake kufanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Freeman Mbowe na Zitto Kabwe Wamkaba Koo Spika wa Bunge Ndungai...

Ni wazi kuwa uamuzi wa upinzani kutoshiriki uchaguzi wa wenyeviti wa kamati mbili wanazopaswa kuziongoza, umeliweka Bunge katika mtego wa kuonekana haliwezi kuisimamia vizuri Serikali.Kutokana na hali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bulembo: Lowassa ni Fisadi, Namshauri Amwache Rais Magufuli na Badala yake...

Mwenyekiti wa  Jumuiya ya wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdalah Bulembo amemtaka waziri mkuu wa zamani Edward  Lowassa  amwache Rais Magufuli aendelee kufanya kazi zake.Bulembo anakuwa kiongozi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hotuba ya Maalim Seif Kwa Waandishi wa Habari Aliyoitoa Leo Jumapili Tarehe...

HOTUBA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI – PARK HYATT ZANZIBAR, TAREHE 10 APRILI, 2016Ndugu zangu Waandishi wa Habari,Ndugu Waalikwa,Naanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Udhaifu wa Jakaya Kikwete Awamu ya Nne, Siyo Uimara wa John Pombe Magufuli....

MPAKA sasa, sifa kuu ya Serikali ya Awamu ya Tano, inayoongozwa na Rais John Magufuli ni kujenga ufuasi wa kushangiliwa kwa kila jambo, anaandika Gululi Kashinde.Washangiliaji wako kila kona. Wapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Haya Hapa Matokeo ya Mechi ya Azam FC na Esperance ya Tunisia

TIMU ya Azam FC leo imeibuka kidedea kwa kuifunga Esperance ya Tunisia mabao 2-1 kwenye mchezo wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar.Mabao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA: Marufuku kwa wanaotoa Pesa kwa Omba omba kando ya barabara

Mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda amepiga marufuku wananchi wanaotoa Pesa kwa Omba omba kando ya barabara kwa kuwa wanachangia uwapo wa watu hao huku baadhi ya watu wakiwatumia watoto hao kujipatia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtu Aliyeambukiza Ukimwi Watu 200 Afungwa Miaka 25 Jela....

Daktari aliyewaambukiza wagonjwa 200 virusi vya ukimwi nchini Cambodia amehukumiwa jela.Daktari huyo bandia alipatikana na hatia ya kuwaambukiza takriban watu 200 virusi vya ugonjwa wa Ukimwi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Al-Shabaab Attack Kenyan Police Station

About 100 Al-Shabaab militants on Sunday morning attacked Diff Police Station in Wajir County, injuring three officers.The heavily armed attackers are said to have stormed the police post at 3am, where...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KQ to Transfer Pilots to Ethiopian Airline

Troubled national carrier Kenya Airways is planning to offload some of its pilots to Ethiopian Airlines as part of austerity measures to see the airline return to profitability.It is reported that 21...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jinsi Ya Kutambua Simu Feki

1. Kabla hujanunua simu mpya hakikisha unaandika namba hii *#06#, kwenye simu hiyo au ambayo tayari umenunua.2. Ukishaandika itaonyesha namba ya pekee (serial number) au IMEI (International Mobile...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Amaliza ziara ya Ulaya, Adai Reality TV Show yake itaweka Wazi Mambo...

Diamond Platnumz amemaliza ziara yake ya Ulaya aliyoipa jina, From Tandale to The World Tour iliyompeleka kwenye nchi takriban nane.Show yake ya mwisho ilifanyika Jumamosi hii jijini Copenhagen,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Manny Pacquiao Astaafu Ndondi Baada ya Kumdunda Timothy Bradley

Bondia wa Ufilipino, Manny Pacquiao amethibitisha kustaafu masumbwi baada ya kumdunda Timothy Bradley kwenye pambano lao la Jumamosi hii.Pacquiao alishinda kwa pointi licha ya kumwangusha Bladley mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya April 11, Ikiwemo ya...

SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya April 11, Ikiwemo ya Seif Kudai Dr Shein Atasalimu Amri

View Article
Browsing all 1545 articles
Browse latest View live