Download Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu yako Kutoka Play Store...
Download Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu yako Kutoka Play Store Kusoma Habari Zetu Kwa UrahisiBonyeza Hapa CLICK HERE Au Bonyeza hii picha hapa chini
View ArticleTendo la Ndoa Hudumu Kwa Muda Gani? Wanasayansi Wana Jibu Hili
Ni muda gani tendo la ndoa (ama nalisema kiheshima sana?) Au niseme ni muda gani watu wanaofanya mapenzi hutumia kumaliza?Na sasa wanasayansi wamekuja na jibu halisi kuwa kitendo cha ngono hudumu kwa...
View ArticleKR Mullah Ajibu Tuhuma Na Sir Nature Kuhusu TID na Matumizi ya Madawa ya Kulevya
Mwanamuziki KR Mullah amefunguka baada ya msanii mwenzake wa kundi la Wanaume Halisi Juma Nature, kusema kitendo cha KR kujiunga na Radar Entertainment, huenda kitamuharibu asipokuwa makini.KR Mullah,...
View ArticleUkweli Kuhusu Kipini Cha Diamond Huu Hapa...Maneja wake Afunguka Ukweli....
Kwa masaa kadhaa picha ya Diamond Plutnumz akiwa na kipini puani, imekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na kuwaacha mashabiki wake njia panda.Mashabiki wengi walionekana kumkosoa kwa uamuzi wake wa...
View ArticleRidhiwani Kikwete Akana Taarifa Kuwa Yeye ni Mmoja wa Wamiliki wa Kampuni ya...
MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amekanusha taarifa zilizosambaa katika mitandao ya kijamii na kwenye vyombo vya habari kuwa yeye ni mmoja wa wamiliki wa kampuni ya Lugumi, inayodaiwa kupewa...
View ArticleLowassa Afunguka na Kumkosoa Rais Magufuli Tena
Hali ya siasa nchini ni ya hamasa, lakini isiyokuwa na misingi endelevu.Kwa kuwa Rais amekuwa akigawa fedha wakati chombo cha kufanya hivyo kipo ambacho ni bunge.Pia nasononeshwa ninapoona watu...
View ArticleMaalim Seif Sharrif Hamad Kutoa Mwelekeo Wake Kisiasa Kesho
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharrif Hamad kesho ataelezea mwelekeo wake kisiasa, ikiwamo kufafanua kiundani uamuzi wa chama hicho kususia uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi...
View ArticleMwigizaji Shamsa Ford Amsweka Baba wa Mtoto Wake Lupango...Kisa Hichi Hapa
STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford juzikati amemsweka lupango mzazi mwenziye Dick Matoke, katika Kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa kile kinachodaiwa kuwa mzazi mwenzake huyo kuwa na tabia ya kumtukana...
View ArticleBreaking News: Dkt. Shein Atangaza Baraza Lake la Mawaziri
RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dkt. Ali Mohamed Shein leo Jumamosi, April 9, 2016 ametangaza Baraza la Mawaziri litakalosimamia kazi za serikali kwa kipindi cha uongozi wake wake kwa...
View ArticleTunda: Kupiga Picha Nusu utupu ni Hobi Yangu
MUUZA nyago Bongo, Tunda Sebastian amesema miongoni vya vitu ambavyo anajiona yuko huru kuvifanya ni kupiga picha za kihasara kwani anachukulia kama hobi yake.Tunda alifunguka hayo baada ya kuulizwa...
View ArticleIdriss Afunguka...Niliumia Kumuona Wema Sepetu Akimbusu Mwanaume Mwingine
Idris Sultan aliumia kumuona mpenzi wake Wema Sepetu akimbusu mwanaume mwingine.Idris na mtangazaji wa The Trend, Larry MadowoAkiongea kwenye kipindi cha The Trend cha NTV ya Kenya, Idris alisema...
View ArticleYAMETIMIA..Radio EFM Yawachukua Watangazaji Gerald Hando na...
(PJ) pamoja na Abel Onesmo Jumamosi hii wametambulishwa rasmi EFM.Watangazaji wa zamani wa kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm, Gerald Hando, Paul JamesMkurungenzi wa EFM Radio, Francis Siza ‘DJ...
View ArticleMsanii wa Muziki wa dansi Ndanda Kosovo Afariki Dunia
Msanii wa muziki dansi, Ndanda Kosovo amefariki dunia Jumamosi hii katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akitibiwa maradhi ya tumbo.ndandaaaTaarifa za awali zinasema marehemu alifikishwa...
View ArticleMtu Mmoja Auawa na Tembo Wengine Kadhaa Kujeruhiwa Mkoani Arusha
Mtu mmoja ameuawa na tembo wengine kadhaa wamejeruhiwa katika mapambano kati ya wananchi na kundi la tembo yaliyotokea katika kijiji cha kitendeni kata ya Irkaswa tarafa ya Endyment wilayani Longido...
View ArticleKijana Ukitaka Kuoa Tafuta Mwanamke Mwenye Nyota..Mengine ni Mbwembwe tu..
Kuna kitu kipo lakini watu hawajui au hawjawahi kukifikiria!! Nacho ni Nyota ya mwanamke!! Ndio nyotaLeo nimeambiwa kisa kimoja ambacho kimelipua mawazo yangu yaliyolala kwa kitu ambacho nilshakua...
View ArticleSOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya April 10, Ikiwemo...
SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya April 10, Ikiwemo Ridhiwani Kikwete Awaponza VigogoPublish
View ArticleAliyempiga Chenga Rais Magufuli, Anaswa na TRA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imemtia mbaroni mfanyabiashara aliyepiga chenga agizo la Rais John Magufuli la kuzuia uingizaji sukari kutoka nje, badala yake akaamua kuingiza shehena ya bidhaa hiyo...
View ArticleLukuvi: Nyumba zinazouzwa na NHC ziondolewe VAT
Wizara ya Ardhi imependekeza kuondolewa kwa kodi ya ongezeko la thamani (VAT), kwa nyumba zisizozidi Sh40 milioni zinazouzwa na taasisi za umma.Waziri wa Ardhi, William Lukuvi aliieleza Kamati ya...
View ArticlePolisi Idara ya Uhamiaji inawashikiria vijana 20 Raia wa Kenya kwa kutumia...
Vijana ishirini kutoka Shimoni Mombasa nchini Kenya wapo mkononi mwa idara ya uhamiaji mkoa Kaskazini Pemba baada ya mashua walio kuwa wakisafiria kutoka Mombasa kwenda Unguja kuharibika wakiwa...
View ArticleChama Cha Abiria Nchini Chawataka Wamiliki wa Mabasi Kuwahudumia Majeruhi...
Chama cha kutetea haki za abiria nchini(CHAKUA),imeitaka serikali kuwabana wamiliki wa magari ya abiria,pindi magari yanapopata ajali na kusababisha majeruhi wa abiria,ili kuwagharimia matatibu na...
View Article