Gari la Serikali Lanaswa Baa Usiku.....
KIKOSI cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers, Ijumaa iliyopita kilimnasa dereva wa taasisi ya serikali akirandaranda na gari la serikali usiku na akaishia baa moja ambapo alikutwa...
View ArticleTB Joshua Atajwa Kashfa ya Ukwepaji Kodi ya Panama...Mwenyewe Akana na Kuruka...
TB Joshua, muhubiri maarufu barani Afrika na raia wa Nigeria, ametajwa kwenye nyaraka za kashfa ya ukwepaji kodi za Panama, akidaiwa kuwa na hisa kwenye kampuni iliyosajiliwa visiwa vya British Virgin...
View ArticleHospitali ya Muhimbili Wachanganya Maiti..Ndugu Wasafirisha na Kuzika Maiti...
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeingia katika mkasa baada ya kutoa mwili wa marehemu kwa watu tofauti ambao nao bila ya kujua, waliusafirisha na kuuzika Usangi, Mwanga mkoani Kilimanjaro.Kutokana...
View ArticleWabunge Wadai TANAPA Ni JIPU....Washangaa Shirikia Hilo la Umma Kuwa na...
SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limeingia kwenye orodha ya Taasisi za Serikali zenye matumizi makubwa ya fedha ukilinganisha na mapato wanayokusanya, jambo lililoishtua Kamati ya Bunge na kutaka...
View ArticleTCRA yawapa Kibano Akina Lulu na Masogange Kwa Kuvaa Nguo Fupi na Kupost...
DAR ES SALAAM: Kufuatia tabia ya akina dada wengi kuweka picha za nusu utupu katika akaunti zao kwenye mitandao ya kijamii, wakiwemo mastaa kama Lulu, Masogange na wengineo, Mamlaka ya Mawasiliano...
View ArticleMkuu wa Wilaya, Mkurugenzi Wamkana Anne Kilango Malecela.....Wadai Hata wao...
Siku moja baada ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango kuvuliwa uongozi kwa kutosema ukweli, Mkuu wa Wilaya ya Kishapu, Hawa Ng’humbi ameiruka taarifa ya kutokuwapo kwa watumishi hewa,...
View ArticleOmbaomba Dar Wamjibu Makonda, Wasema Hawaondoki MJINI Ng'oo
OMBAOMBA katika jiji la Dar es Salaam wamemjibu Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda wakisema hawawezi kuondoka kwa vile ‘mjini kila mtu ana kazi yake’.Wamesisitiza kuwa hawawezi kuondoka Dar es Salaam kwa...
View ArticleUtajiri wa Sh. Bilioni Nane wa Mwanamuziki Diamond Wazua Maswali...
Hivi karibuni, Mtandao wa The Net Worth (www.the-net-worth.com) umetangaza utajiri wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ (26) ambapo kwa mujibu wa jarida hilo, nyota huyo ana utajiri...
View ArticleMrema Ajitokeza Kwa Mara Nyingine Tena Kumkumbusha Rais Magufuli Ampe Kazi...
Mwenyekiti wa TLP taifa Dkt. Augustino Lyatonga Mrema amesisistiza ombi lake la kazi kwa kumkumbusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwamba ampe kazi yoyote amsaidie...
View Article'Sikupendi wala Sikuzimii Marekani..Nimenunua Nyumba South Africa'- Diamond...
Msanii Diamond Platnumz amefunguka kuhusu suala la yeye kutonunua nyumba nchini Marekani kama wasanii wenzake wakubwa wa Afrika wanavyofanya.Diamonda amefunguka hilo kwenye Planet Bongo ya East Africa...
View ArticleMuimbaji wa Zamani wa Blue 3 Jackie Chandiru Hoi Kwa Madawa ya Kulevya
Madawa ya kulevya si janga linaloviumizwa vichwa vya wadau wa muziki wa Bongo Flava, bali Uganda pia mambo si mambo.Muimbaji wa zamani wa kundi la Blue 3, Jackie Chandiru yupo kwenye hali mbaya baada...
View ArticleAskofu Josephat Gwajima Apinga kauli ya mkuu wa Mkoa wa Arusha ya Kutaka...
April 5 mwaka huu, mkuu wa mkoa wa Arusha mh. Daud Felix Ntibenda alitoa amri ya kuyadhibiti makanisa ya kilokole jijini Arusha kwa madai kuwa yanawasumbua wananchi kwa kupiga vinanda na kuimba usiku...
View ArticleMwigizaji Ray Atuhumiwa Uchawi, Afunguka
Staa wa filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ ameingia kwenye kashfa nzito baada ya kudaiwa kutumia ndumba kwenye sanaa ili kuwa juu ya wenzake, Risasi Mchanganyiko limetonywa.Chanzo kutoka Bongo...
View ArticleKumbe LUGUMI Anasupply na Vifaa vya Polisi Kama Uniform, Boot na Tape za...
Inasemekana Lugumi hakuwa ana tenda ya finger print peke yake kwa Jeshi la Polisi kumbe alikuwa ana supply na vifaa vya polisi kama uniform, boot na tape za polisi..Wanasema kazi hiyo alikuwa akiifanya...
View ArticleFaiza Ally Afunguka Vilivyo Kuhusu Mbunge Sugu Kuoa Mwanamke Mwingine
Muigizaji wa Bongo movie na 'baby mama' wa Mbunge wa Mbeya Mjini maarufu kama Sugu afunguka Instagram kuhusu mapenzi yake kwa mzazi mwenzie na kutoa tambo za kutosha kuwa hata Sugu akioa nyumba na mali...
View ArticleHama Hama ya Watangazaji wa Radio za Bongo.. Maana Yake ni Nini!?
Watangazaji sasa wanabadilisha vituo kama team za soccer.Gadner katoka Efm kaenda Clouds.PJ na Hando wametoka Clouds wameenda Efm.Jabir saleh na Bi Hindu wametoka Times fm wameenda Efm.Dj Senyorita na...
View ArticleMajambazi Watatu Wauawa na Jeshi la Polisi Kahama, Shinyanga
Jeshi la Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga limefanikiwa kuuwa Majambazi watatu yaliokuwa yamevami duka la mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Emmanuel Mukumbo na kumuua kwa risasi ambapo...
View ArticleBreaking News: Mbunge Saed Kubenea Apatikana na Hatia Mahakani...Amehukumiwa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtia hatiani Mbunge wa Jimbo la Ubungo Saed Kubenea kwa kosa la kutoa lugha chafu ya matusi kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ambaye sasa ni Mkuu wa Mkoa wa...
View ArticleMwanasiasa wa Upinzani Auawa Nairobi Kenya..
Mwanasiasa wa upinzani ameuawa kwa kupigwa risasi nje ya nyumba yake katika mji mkuu wa Kenya Nairobi.Stephene Mukabana ambaye ni kiongozi wa vijana wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM),...
View Article