Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL BLOG
Browsing all 1545 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FULL STORY: Mkuu wa wilaya Richard Kasesela Alivyowapeleka Polisi Watangazaji...

Siku ya kwanza ya mwezi April kila mwaka huwa ni siku ya Wajinga duniani na kila mmoja anaeifahamu hii siku huwa anazishtukia baadhi ya habari na wengine huwa wanaifanyia mzaha kweli hii siku kama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Afungwa Kifungo cha Maisha Jela Kwa Kumlawiti Mtoto Mlemavu wa kusikia na...

Mkazi wa Gongo la Mboto, Omary Hamis (25) amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa miaka tisa ambaye ni mlemavu wa kusikia na kuongea.Hakimu Mkazi, Flora...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Fatuma Karume 'ALIPUKA': Zanzibar tunaishi kama wanyama!

Mwanadada jasri na aliyejizolea umaarufu hivi karibuni Fatuma Karume AMELIPUKA, unaweza kusema. Akihojiwa na DW amesema sasa Zanzibar wanaishi kama wanyama maana hawafuati katiba. "Kama wameamu kuondoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hatimaye Utumishi Wafafanua Kuhusu Mshahara wa Rais Magufuli na Kikwete

Siku chache baada ya Rais Dk. John Magufuli, kutaja mshahara wake kuwa ni Sh. milioni 9.5 kwa mwezi, Wizara ya Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imefafanua mshahara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtu Aliyeungua na Moto Hadi Kufa Kwenye Gari Mbezi Ajulikana..Mi Mhadhiri wa...

Mhadhiri  wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Idara ya Sayansi na Uhandisi wa Kompyuta (CoICT), Dk Richard Mgaya amefariki baada ya teketea ndani ya gari lake jijini Dar es Salaam juzi.Gari la Dk...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Na Rais Wa Rwanda Paul Kagame Wazindua Rasmi Daraja La...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame wakifurahia mara baada ya kuzindua rasmi daraja hilo la kimataifa la Rusumo na Kituo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dr. Shein: Upinzani Haujakidhi Vigezo vya Kutoa Makamu wa Rais

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein amesema hakuna chama kilichokidhi matakwa ya kikatiba kutoa makamu wa kwanza wa Rais.Rais Shein aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Babutale Aeleza Mipango Waliyonayo na Yazz (Hakeem) wa Tamthilia ya Empire

Diamond Platnumz na meneja wake, Babutale huhakikisha wanatumia kila fursa inayojitokeza mbele yao. Hivi karibuni wawili hao walikutana na muigizaji maarufu wa tamthilia ya Empire, Yazz anayejulikana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jokate Aumizwa na Maneno ya ALI KIBA Kuwa Wao ni Marafiki Tu...Ampiga Kijembe...

Huenda maneno ya Alikiba kwenye E-News yameanza kumuumiza Jokate.Mwanzoni Jokate na Alikiba walionekana kuwa karibu sana lakini siku za hivi karibuni kila mmoja ameonekana kuwa peke yake.Jokate...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kagame Amemgawia Rais Magufuli Ng'ombe watano

Ziara ya Rais Magufuli Rwanda, imeleta neema baada ya Rais wa Rwanda Paul Kagame, kumgawia ng'ombe watano rais wa Tanzania kama ishara ya upendo na Ushirikiano. Hii inaleta hali na Muamko mpya baina ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baraka da Prince Amtambulisha Mrembo Najma Nyumbani Kwao Mwanza...

Habari za uhakika zilizotufikia ni kwamba mwanamuziki wa bongo flava hapa nchini Baraka De Prince amemtambulisha rasmi mke wake mtarajiwa Najma kwa wazazi wake huko jiji Mwanza.Hongera Baraka kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamuziki DIAMOND Atoboa "PUA" na Haya ndio Maneno Aliyosema

Supa Staa wa Bongo Fleva DIAMOND PLATNUMZ ametupia Picha Kwenye Akaunt yake ya Instagram akiwa ametobua Pua na kuweka kipini..Hata hivyo Hali sio nzuri juu ya Mashabiki wake wengine wakimponda na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kinywaji Cha Red Bull ni Hatari Sana Kwa Afya Yako..Chakua Tahadhari

RED BULL Huuzwa katika maduka makubwa (Supermarkets) na madogo (Retail Shops) katika nchi ya Tanzania, watu wazima na watoto wengi wana mazoea ya kunywa kinywaji hiki ambacho kinaweza kusababisha kifo....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya April 7, Ikiwemo...

SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya April 7

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nimemuomba Radhi Shetta Kwa Kumtukania Wazazi Wake...Nilikuwa Nimelewa Sana...

Msanii Dudu baya ambaye alikuwa na ugomvi na msanii mwenzake Sheta, na kumtolea maneno machafu kwenye kipande cha video kilichosambaa kwenye mitandao ya kijamii, amemuomba msamaha msanii huyo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bajeti ya Serikali 2016/ 2017 ni Trilioni 29.5.....Matumizi ya Kawaida ni...

Bajeti ya kwanza ya Serikali ya Awamu ya Tano itaizidi ya Serikali ya Awamu ya Nne kwa Sh7.1 trilioni baada ya Waziri wa Fedha kutangaza sura ya bajeti ya mwaka 2016/17 inayoonyesha kutakuwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge wa Zamani na Moshi Vijijini (CCM) Apandishwa Kizimbani

Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Thomas Ngawaiya amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na shtaka la kujenga hoteli kwa kutumia makandarasi wasiosajiliwa.Ngawaiya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siku Mbili Tu Anadai ana Mimba yangu..Soma Kisa Kizima Hapa...

Wiki iliyopita ya Pasaka nilipewa taarifa na ndugu yangu sista alieolewa na muhindi, kwamba wanaomba msaada jumatatu saa6 usiku niwapeleke airport wanaelekea india, kwa sababu hawakua na gari,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda Apiga Marufuku Kilevi Aina ya Kiroba

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda amepiga marufuku uuzwaji wa kilevi aina ya kiroba katika mkoa huo.Alisema uamuzi huo unatokana na vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa kushindwa kufanya kazi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwisho Mwampamba Kortini..Alala Mahabusu Siku Mbili Kisa Matusi ya Nguoni...

MOROGORO: Ikiwa takriban siku 40 tangu baba yao, Dk. Ephraim Njawala Mwampamba, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo Cha Sokoine (SUA) afariki dunia, mwanaye Mwisho Ephraim Mwampamba ameburuzwa mahakamani...

View Article
Browsing all 1545 articles
Browse latest View live