Mbunge Sugu Awachana Wasanii Kufanya Show Ulaya....Adai Sio Kigezo Kwa Music...
Kwenye stori tatu ya Planet Bongo ya East Africa Radio, Sugu amesema huwezi kutumia kigezo cha wasanii kufanya show nje ya Afrika yaani Ulaya, America na kwengineko kama kigezo kuwa game imekua, kwa...
View ArticleWaziri wa Mambo ya nje, Balozi Mahiga Asema Serikali imesikitishwa na...
Serikali imeeleza kusikitishwa na uamuzi wa Marekani kusitisha uhusiano katika Shirika la Changamoto za Milenia (MCC), bila kuishirikisha wala kuisikiliza.Kadhalika, imesema hakuna umuhimu wa misaada...
View ArticleZitto Kabwe: Tanzania Kunyimwa Fedha ni Matokeo ya Ubabe wa CCM
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, amesema MCC kuinyima fedha Tanzania ni kwa sababu ya ubabe wa CCM na kwamba, sasa watu wasivikwe koti la uzalendo kwa jambo hilo.Kwenye ukurasa wake wa mtandao wa...
View ArticleDownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu yako Kutoka Play Store...
Good News! Sasa Blog yako ya Udaku Special Ipo Google Play Store.Download Udaku Special Blog Android Application CLICK HERE From Play StoreAu Bonyeza hii picha hapa chini
View ArticleSoma Hapa Barua ya Binti Aliyoandika Kabla ya Kujiua Kwa Kujinyonga Kwa...
Binti mmoja anayejulikana kwa jina la Jesca ambaye ni mfanyakazi wa Longido Mountain Lodge amekutwa amejinyonga katika hotel ya Longido Mountain Lodge na kuacha ujumbe kuwa kifo chake kisihusishwe na...
View ArticleAgizo la Paul Makonda la Kusalimisha Silaha Kuhakikiwa Laendelea...
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imesema watu 574 wamejitokeza kuhakiki wa silaha zao.Mkuu wa mkoa huo, Paul Makonda alitoa siku 90 kwa wakazi wa Dar es Salaam wawe wamehakiki silaha zao ifikapo...
View ArticleTETESI: Clouds FM Kuwatema Baadhi ya Watangazaji...PJ na Gerald Hando Watajwa
Habari zinasema kwamba PJ, Abel Onesmo na Gerald Hando watapigwa chini kuanzia mwezi April mwaka huu. Kwa kawaida, Clouds wana utaratibu wa kutoa mikataba mipya kila ifikapo April 1.Katika zoezi hilo...
View ArticleWananchi Waanza Kugombania Kiti Alichokikalia Rais Magufuli Kwenye Mgahawa...
Mgahawa aliotumia Rais John Magufuli kupata mlo wa mchana na msafara wake juzi kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza, umekuwa kivutio kwa wateja wengi wakinunua chakula na kutaka kukalia kiti na meza...
View ArticleAli Kiba na Gigy Money Mahaba Motomoto..Team Kiba Wapanick
Story ya town kwa celeb wa Tz n kuwepo kwa uhusiano wa kimya kimya kati ya ali kiba na gigy money bado haijathibika japo Gigy money alipohojiwa na clouds fm kasema hajapewa ruhusa na Ali kiba kuongelea...
View ArticleJE Umeshawahi Kufikiria Mchezaji MBWANA SAMATTA Analipwa Mshahara Kiasi Gani...
Klabu ya KRC Genk anayocheza nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta inatajwa kuwa miongoni mwa vilabu tajiri ndani ya Ligi Kuu Ubelgiji, ila kwa mujibu wa www.xpats.com, wachezaji wengi wao Ubelgiji...
View ArticleVIDEO: Television Kenya Zanasa Jinsi Simba Aliyetoroka Mbugani Nairobi...
Mwaka huu nimeziona mara tatu taarifa za habari kuhusu Simba kutoroka kwenye hifadhi ya Wanyama Nairobi Kenya na kuingia Uraiani na kufanya maisha kuwa ya wasiwasi, wengine wawili walitoroka kwenye...
View ArticleBoss wa Clouds FM Ruge Akanusha Gerald Hando na PJ Kuacha Kazi...
MKURUGENZI wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, leo kupitia kipindi cha Power Breakfast amekanusha uvumi wa watangazaji wa kituo hicho, Gerald Hando, Abel Onesmo na PJ, kuacha kazi.“Kwa nafasi...
View ArticleSerikali ya Tanzania Kuingiza Nchini Ndege 2 za Kisasa Kutoka Canada Ndani ya...
Serikali ya Tanzania imeingia makubaliano ya ushirikiano wa anga na Serikali ya Quwait. Makubaliano hayo yatawezesha mashirika ya ndege ya nchi zote mbili kufanya safari za moja kwa moja na kukuza...
View ArticleSalama Condoms Ina Nini Cha Kusema....Soma Hapo
Salama inaamini katika kusherehekea uhodari wa kuwa Original kwa vijana. Kwa vijana wa kitanzania walio na fursa kubwa, ujumbe wetu kwako ni “kamwe usiwe na uwoga wa kufanya kile unachopenda, sherekea...
View ArticleZa Mwizi ni Arobaini..Wezi wa Nyaya za Kampuni ya TTCL Wakamatwa
WANANCHI wa Mtaa wa soko la sovya Wilayani Kasulu usiku wa kuamkia leo wamewakamata wezi waliokuwa wamekata nyaya za mawasiliano za kampuni ya TTCL. Akiongea juu ya tukio hilo Mkurugenzi mtendaji wa...
View ArticleNape Nhauye Atema Cheche..TFF Inao Uwezo wa Kumlipa Kocha Mkuu wa Taifa...
Serikali ya awamu ya tano kupitia Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye imesema kwamba Shirikisho la Mpira wa miguu nchini TFF linapaswa kumlipa mshahara kocha wa timu ya taifa...
View ArticleCCM Yatoa Tamko Baada ya Wabunge Wake Kufikishwa Mahakamani Leo Kwa Tuhuma za...
Kwa kipindi cha hivi karibunin kumekuwepo na tuhuma za baadhi ya wabunge kujihusisha na masuala ya rushwa.Tuhuma hizo zimekuwa zikifanyiwa kazi na vyombo vya dola na kwamba tayari baadhi ya wabunge...
View ArticleSakata la Wastara Kutoroshwa Hospitalini...Ndugu Wakwama Kumpata Alipo
Hali bado tete! Baada ya Gazeti la Ijumaa Wikienda ambalo ni dugu wa damu na hili toleo la Jumatatu iliyopita kutoka na habari yenye kichwa kisemacho; WASTARA ATOROSHWA HOSPITALINI, habari mpya ni...
View ArticleTetesi: Kikwete Kumrith Ban Ki-Moon Umoja wa Mataifa
Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Rais mstaafu wa Tanzania kwa awamu ya nne (2005 – 2015) ni miongoni mwa wanadiplomasia wakubwa duniani wenye ushawishi na uwezo wa utatuzi wa matatizo mbalimbali duniani, sio...
View Article