Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL BLOG
Browsing all 1545 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Amuapisha Mkuu Wa Mkoa Mpya Wa Songwe Mhe. Chiku Gallawa Ikulu...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Ikulu jijini Dar es salaam leo Machi 28, 2016

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jinsi Bifu la Diamond na Alikiba Linavyowanufaisha Wasanii wa Nje

Ni ukweli kuwa Diamond na Alikiba ni wasanii ambao hawapatani kwa muda mrefu.Kutokana na ugomvi wao uliopo umepelekea mpaka mashabiki wao kuanzisha team, team hizi zinakuwa zinamsupport msanii wao na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dogo Janja: Shule Sio Kitu cha Kufanya Kwa kuiga, Siitaki Tena (Video)

“Msomi Nick wa Pili, mimi niliachaga Makongo,” anasema Dogo Janja kwenye wimbo wake mpya, My Life.Na sasa rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa hawezi tena kurudi shule.“Siku zote linapokuja suala la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Machangudoa Wanne Kati ya Kumi Wanaojiuza Wanamaambukizi ya Virusi vya...

Utafiti uliofanywa na Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na upimaji wa virusi vya Ukimwi la MATUMAINI, unaonyesha kuwa kati ya wanawake kumi wanaofanya biashara ya ngono wanaopima wanne kati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Babu Tale Atangaza Vita na Baghdad...Kisa Kizima Hichi Hapa

Msanii Baghdad ambaye kwa sasa anafanya project yake ya Old is old ya kurudia nyimbo za wasanii wa bongo fleva, amefunguka kuhusu bifu yake na meneja wa wasanii Babu tale.Akizungumza kwenye kipindi cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tazama Video Jinsi Raila Odinga Alivyoanguka Jukwaani Wakati Akihutubia...

Cord leader Raila Odinga is reportedly nursing injuries after he was injured during a recent trip to Mombasa County.Odinga was addressing his supporters when a dais he was speaking on collapsed and...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya March 29

SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya March 29

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafuasi Zaidi ya 600 wa UKAWA Wakiongozwa na Freeman Mbowe Wafanya Tukio...

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Freeman Mbowe, amewashauri Watanzania wasife moyo kwa matokeo mabaya ya uchaguzi yaliyopinduliwa; na kwamba matokeo hayo yawe chachu ya kufanya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vigogo Wawili Maliasili Waliotoa Vibali vya Kusafirisha Tumbili Watiwa Mbaroni

Kikosi kazi maalumu cha kuchunguza makosa makubwa ya kihalifu kimewatia mbaroni vigogo wawili wa Wizara ya Maliasili na Utalii, wakihusishwa na utoaji wa kibali cha kusafirisha tumbili 61 kwenda nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk Shein amteua Balozi Seif Ali Idd Kuwa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar

Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein amemteua Balozi Seif Ali Idd kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa visiwa hivyo.Kwa mujibu wa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 39 (2) cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli Akabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...

Rais John Magufuli, ambaye amejipa kazi ya “kutumbua majipu”, sasa anaweza kufanya kazi yake vizuri zaidi baada ya kukabidhiwa ripoti tano na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutana na Bilionea Mtanzania Anaetaka Kuanzisha Benki yake… Anawazia Kuinunua...

Inabidi ujue Tanzania inao watu wenye pesa zao na wanayo malengo au mipango mikubwa zaidi ya kibiashara ambayo kama ikienda inavyotakiwa wanaweza kuifanya nchi hii kutajwa zaidi kuwa na matajiri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Siri ya Utoroshaji wa Wanyama na Wadudu Hai Kutoka Tanzania Kwenda Nje ya...

Siri ya utoroshaji wa wanyama na wadudu hai kutoka Tanzania kwenda nje ya nchi imebainika. Wamekuwa wakitumika katika nchi mbalimbali kwenye utafiti, mapambo na kitoweo.Uchunguzi uliofanywa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EDWARD Lowassa Afunguka: Niacheni Kwanza Jamani...

Ikiwa ni miezi minane tangu Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuhamia CCM na kutua Chadema, jana alitoa sadaka yake ya kumshukuru Mungu kwa mambo mengi aliyomtendea na anayoendelea kumtendea. Hata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Video ya Nicki Minaj akitupa simu ya mkononi ya mlinzi wake,sababu iko hapa

Wanasema unapolipwa kiasi flani cha pesa ili uweke ulizi juu ya mtu wakati anafanya jambo flani, ni muhimu utekeleze wajibu wako sababu huwezi jua usalama gani anahitaji mtu huyo mpaka kukupa wewe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kama Romeo na Juliet: Diamond na Zari Ndani ya Mahaba Mazito Sweden

Watukufanya utamani kupenda ukapendwa – maake kunakupenda usipendwe na badala yake ikawa tu karaha, mapenzi usiyafurahie tena. Lakini kwa Zari the Bosslady na Diamond Platnumz ni mahaba mazito kama ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ray C Akana Kurudia Madawa ya Kulevya...Apanga Kuvishitaki Vyombo vya Habari

Msanii Ray C amevijia juu vyombo vya habari vinavyoandika taarifa za uongo juu yake, kuwa amerudia kutumia madawa ya kulevya, na kuahidi safari hii atavifikisha mahakamani.Katika ukurasa wake wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajali za Mabasi zaendelea Kutumaliza...Hii Hapa Ajali Nyingine Iliyochukua...

Watu sita wamekufa na wengine zaidi ya 38 kujeruhiwa na kulazwa Hospitali ya Rufani Mkoa wa Iringa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Mwanza kwenda Iringa kupinduka mlima Ipogolo Manispaa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wema Sepetu Atoboa Siri...Aliyekuwa Mume wa Zari Anamtongoza na Ahadi ya Kumuoa

Supastaa wa Bongo, Wema Sepetu ‘madam’ ameanika siri zilizojificha nyuma ya pazia kati yake na aliyekuwa mume wa mwanamuziki nyota wa Uganda, Zarina Hassan ‘Zari’, Ivan Semwanga, kuwa anataka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanamume Aliyeteka Ndege ya Misri Akamatwa....Mapenzi Ndio Chanzo cha Yeye...

Mwanamume aliyeteka nyara ndege ya shirika la Misri la EgyptAir na kuishurutisha kutua Cyprus amekamatwa, wizara ya mashauri ya kigeni ya Cyprus imetangaza.Mwanamume huyo alidai kwamba alikuwa na...

View Article
Browsing all 1545 articles
Browse latest View live