Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL BLOG
Browsing all 1545 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBC1 Hawana Pesa ya Kurusha Bunge ila Wana Pesa ya Kumrusha Paul Makonda

Jana nikiwa nyumbani naperuzi peruzi channel zetu zina nini cha mimi kuweza kuangalia, wakati napitapita nikapita na TBC, chaneli yetu ya Taifa. Nakutana na Makonda anahutubia, akili ya mwanzo nikawaza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uchaguzi Zanzibar : Mgombea Urais wa CCM Dr. Shein Apiga Kura Asubuhi Hii

Zoezi  la upigaji kura limeanza  ambapo mgombea urais wa CCM Dkt Ali Mohammed Shein amepiga kura asubuhi hii katika kituo cha Bungi kisiwa cha Unguja.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA Yazifunga Kurasa za Facebook FEKI za Mke wa Rais Janet Magufuli na...

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezifungia kurasa za facebook na tovuti ya www.focusvikoba.wapka.mobi baada ya kugundua kuwa zinatumia majina ya viongozi kutapeli watu.Mkurugenzi Mkuu wa TCRA,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Soma Habari Zilizopop Karika Magazeti Ya Leo Jumapili Ya March 20, Ikiwemo ya...

Soma Habari Zilizopop Karika Magazeti Ya Leo Jumapili Ya March 20, Ikiwemo ya Jakaya Kuiponza Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Juma Nature Ataka Show ya Kushindana na Diamond Platnumz Uwanja wa Taifa....

Juma Nature asema yeye ndiye mwenye ubavu wa kupambana na Diamond Platnumz na wala si Ali Kiba,Kupitia Fnl Juma Nature aliniambia kuwa anaomba mpambano huo ufanyike kwenye Uwanja wa Taifa wa zamani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ommy Dimpoz Awekwa Njia Panda na Ugomvi wa Diamond na Ali Kiba..Hajui Aende...

Msanii wa bongo fleva Ommy Dimpoz ni moja kati ya wasanii wanaoathiriwa na kuwepo kwa ile bifu kati ya Team Diamond na Team Kiba kwa kuwa wote ni washikaji zake.Ommy amesema kuwa mashabiki wanamweka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Diamond Platnumz Ametoa Sababu za Wasanii Wakubwa Afrika Kupotea Kwenye...

Diamond Platnumz ametoa sababu ambazo anaimani zinasababisha wasanii wakubwa AFrika kupotea kwenye ramani ya muziki na kusema ni kuendekeza mashauzi, starehe na kutaka kujionesha.“Unajua wasanii wengi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge Vicky Kamata Afunga Ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango,...

Mbunge wa Viti Maalamu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Vicky Kamata amefunga ndoa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Dk Servacius Likwelile.Dk Likwelile amefunga ndoa hiyo baada ya mkewe wa awali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dr. Shein Afunguka: Nategemea Ushindi wa Kishindo.

Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) visiwani Zanzibar Dkt Ali Mohammed alizungumza na wanahabari baada ya kupiga kura yake katika kituo cha Bungi, Kibera kisiwani Unguja  ambapo alisema anaamini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hamad Rashid: Nina Uhakika wa Kuwa Rais wa Zanzibar au Makamu wa Rais

Mgombea Urais kupitia Chama cha  ADC Mheshimiwa Hamad Rashid ametimiza haki yake ya msingi ya kupiga kura. Akizungumza na Waandishi mara baada ya kupiga kura katika kituo cha shule ya sekondari  Wawi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sugu: CCM inatia doa nchi...Dunia Nzima Inaelewa Uchaguzi wa Marudio Zanzibar...

WAKATI Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) ikiendelea kusimamia uchaguzi haramu wa marudio visiwani humo, Joseph Mbilinyi, Waziri Kivuli wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo anasema, Serikali ya CCM...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hotuba Ya Kwanza Ya Ole Sendeka Kama Msemaji Wa CCM

Machi 15, 2016, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akiwaapisha Wakuu wapya wa mikoa, aliagiza pamoja na mambo mengine, viongozi katika ngazi mbalimbali kuhakikisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jionee Picha Jinsi Zari Hassan na Mama Diamond Wanavyokula Raha Ujerumani..

Diamond and Diamond's family are in German for Diamond's show and family vacation. See below what Tiffah and Mama Diamond wore in German..

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Daktari Afunguka: Maini ya Penny yameanza Kuharibika Sababu ya Unywaji wa...

Habari mbaya! Majibu ya daktari yamemkatisha tamaa Mtangazaji wa Zouk TV, Penniel Mungilwa ‘VJ Penny’ baada ya kuambiwa kuwa, kutokana na unywaji wa pombe kali kupitiliza, maini yake yameanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mange Kimambi Awalipua Wauza Unga Sakata la Mwanamuziki Chid Benz...Awataja...

Kutokana na sakata la mwanahiphop Chidi Benz, Mwanadada Mange kawacha live wauza unga huku akiwataja majina baadhi ya makada maarufu wa CCM Kinje Ngombare na Iddy Azan kama wahusika wa hii game.Note:...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watu Wasio Julikana Wasambaza Vipeperushi vya vitisho Visiwani Zanzibar

Siku moja kabla ya kufika siku ya uchaguzi mkuu wa marudio visiwani Zanzibar hapo kesho watu wasio julikana usiku wa kuamkia leo wameziwaekea X Nyekundu nyumba kadhaa za wakazi wa Pujini katika wilaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Azam FC yaichapa Bidvest Wits ya South Africa 4-3...Yasonga Mbele

TIMU ya Azam FC leo imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Kombe la Shirikisho baada ya kuifunga Bidvest Wits ya Afrika Kusini kwa mabao 4-3 kwenye mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Chamazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwandishi Salma Said Apatikana Baada ya Watekaji Kumuachia Huru

Siku tatu baada ya mwandishi wa Mwananchi na DW, Salma Said kutoweka, jana alipatikana baada ya kukutwa katika Hospitali ya Regency ya jijini Dar es Salaam  na kupelekwa kituo kikuu cha polisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM kuweka utaratibu mpya wa kuwapokea Wanachama waliokihama Chama hicho na...

Siku kadhaa baada ya mwanachama wa siku nyingi wa Chama cha Mapinduzi,balozi Juma Mwapachu, kurejea katika chama hicho baada ya kukihama wakati wa harakati za Uchaguzi mkuu wa mwaka jana, kimekiri kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Idris Sultan Afunguka: Tulifanya Kosa Kubwa Sana Kutangaza Mapema Mimba ya...

Maisha ya mastaa duniani hufuatiliwa kwa karibu sana na watu wengi. Kuna kipindi yanakuwa ni asali lakini yanapobadilika huwa ni shubiri.Mwanzo mahusiano ya Idris Sultani na Madam Wema Sepetu,...

View Article
Browsing all 1545 articles
Browse latest View live