Shahidi wa Lembeli Atinga Kortini na Mzigo wa Masufuria ......Mawakili...
Shahidi wa tatu wa mlalamikaji, James Lembeli katika kesi ya kupinga matokeo ya ubunge yaliyompa ushindi Mbunge wa Jimbo la Kahama Mjini, Jumanne Kishimba (CCM) jana alitinga Mahakama Kuu Kanda ya...
View ArticleWatupwa Jela Miaka 60 Kwa Kukutwa Ngozi za Chui na Chatu
Mahakama ya Mkoa wa Manyara imewahukumu watu watatu kifungo cha miaka 60 jela kwa kosa la kukutwa na nyara za Serikali, ikiwamo ngozi ya chui na nyoka aina ya chatu.Washtakiwa hao ni Mathayo Mchono,...
View ArticleWenje Apasua Kichwa Mawakili wa Serikali Kesi ya Kupinga Matokeo Mwanza...
Kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika jimbo la Nyamagana, jana iliahirishwa kwa mara nyingine, baada ya kutokea mvutano wa kisheria baina ya mawakili wa mlalamikaji, Hezekiah Wenje na wale wa...
View ArticleRais Magufuli Anasa Wauza Madawa ya Kulevya 3,000 Kimyakimya.....
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, amesema ikiwa ni miezi mitatu tu tangu aingie ofisini baada ya kuteuliwa Desemba 10, mwaka jana na kuapishwa siku mbili baadaye, mpaka sasa tayari...
View ArticleMwanamuziki Diamond Platnumz Akanusha Kumpima Tiffah DNA....Adai Kupima DNA...
Mkali wa muziki wa Bongo fleva hapa nchini, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz, amekanusha tetesi zakwenda kumpima mtoto wake Latiffah 'Tiffah' vinasaba 'DNA' ili kupata uthibitisho wa kuwa ni mwanawe au...
View ArticleUVCCM Wapinga Balozi Juma Mwapachu Kurejea CCM.....Wataka Waliompokea Watimuliwe
Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi wilayani Hai (UVCCM),Arnold Swai amepinga ya kurejea ndani ya chama hicho kwa mwanadiplomasia na mwanasiasa mkongwe nchini, Balozi Juma...
View ArticleMashauzi Yanapoteza Wasanii Wengi-Diamond Platnumz
Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Diamond Platnumz amedai kuwa mafanikio yake kimuziki na kuzidi kuendelea kufanya vizuri ni kutokana na ukweli kwamba yeye...
View ArticleSerikali Kutoa Mil.50 kwa Kata Zote Maskini Nchini
Mkurugenzi Dawati la Wazee Tume ya Utumishi na Utawala Bora nchini Tanzania Bw. Joshua Tarimo amesema Serikali imeahidi kutoa shilingi milion 50 kwa Kata zote nchini lengo likiwa ni kupunguza umaskini...
View ArticleMwanamke Aliyeoa Wanaume Wawili Afariki Dunia
MKAZI wa Kijiji cha Ikondamoyo, Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Veronica Salehe (54), aliyeoa wanaume wawili kwa kipindi cha miaka tisa amefariki dunia.Akizungumza na waandishi wa habari juzi,...
View ArticleWatoto wa Mastaa wa Bongo Wanaotabiriwa Kuja Kuwa Mastaa Kama Wazazi Wao Hawa...
Kila mtoto anapozaliwa huanza kumuangalia mzazi wake kama ni role model wake, lakini baadaye wengi huanza kubadili mawazo yao.Mastaa wa Bongo wameanza kuwatengenezea mazingira watoto wao ya kutembelea...
View ArticleJenista Mhagama: Kuweni na Subira Bosi Mpya wa NSSF Mamlaka za Juu Zitakuja...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Vijana, Kazi, Ajira na Walemavu), Jenista Mhagama amewataka wananchi kuvuta subira kuhusu uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii...
View ArticleUkimya wa Reginal Mengi Serikali ya Rais Magufuli Wazua Maswali....Je...
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP huwa mwepesi sana kutoa duku duku ya msitakabali wa nchi, nakumbuka enzi zile za mzee wa msoga alikuwa akimukosoa kila siku kwa utendeji wa serikali ile, lakini...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda Atangaza Zawadi ya Milioni 1 Kwa...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amekutana na Kamanda wa Polisi kanda maalum Simon Sirro pamoja na Askari Polisi kwa lengo la kujionea mwenendo wa jeshi hilo ambapo wamekubaliana kutoa zawadi ya milioni...
View ArticleUchaguzi Zanzibar: Chama cha CUF kimewataka wanachama na wananchi wote kukaa...
Siku ya Jumapili, tarehe 20 Machi 2016, Zanzibar itashuhudia, kwa mara nyingine tena, ubakwaji wa demokrasia kwa kufanyika kile kinachoitwa Uchaguzi wa Marudio’ kufuatia tamko binafsi la Mwenyekiti wa...
View ArticleJuma Jux Asema Hataki Maswali ya Vanessa na Jack...
Jux ameweka wazi hisia zake hizo baada ya kufanyiwa mahojiano na eNewz ambapo alisema kuwa yeye pia ni mwanamuziki kama ilivyo kwa Vanessa Mdee na kusema kuwa imejengeka kuwa kila interview anayoifanya...
View ArticleHii Imekaaje Kwa Kijana Wetu Diamond platnumz...Atua Ujerumani na Timu Kubwa...
Katika kile kinacho itwa From Tandale to world tour,Diamond leo ametua Ujerumani kwaajili ya kukinukishaaa!Lakini kilicho nishangaza ni kundi kubwa la watu alio nao,Sina kinyongo nao sababu wote nilio...
View ArticleSOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumamosi Ya March 19, Ikiwemo ya...
SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumamosi Ya March 19, Ikiwemo ya Vick Kamata Afunga Ndoa
View ArticleZanzibar: Mwandishi wa Habari wa Radio Deutsche Welle(DW-Swahili), Salma Said...
Mwandishi wa Habari wa Radio Deutsche Welle(DW-Swahili), Salma Said jana alikamatwa na watu wasiojulikana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume mjini Unguja, alipokuwa akisafiri...
View ArticleChadema Yawafuata CCM Mahakamani....Yapinga Agizo la Jiji La Dar Kuwazuia...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema hakikubaliani na agizo la serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa Jiji la kuwataka wanaotakiwa kuhudhuria kwenye kikao cha uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar...
View ArticleAkina Masogange, Jack Wolper na Wengine....Huyu Mkongo Mwami Radjabu...
KUNA mshkaji anaitwa Mwami Radjabu, wadau wanamtaja kama kijana mwenye uraia wa nchi jirani ya Kongo (DRC), kwamba ni mfanyabiashara mwenye ukwasi wa kutosha. Kutokana na mkwanja wa kutosha alionao,...
View Article