Mzee Yusuf, Watulize Wake zako! Wanachofanya Mitandaoni ni Aibu Kwako
KWAKO Big Boss wa Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf, habari za siku? Uko poa? Pole na majukumu ya kila siku.Wajionaje na hali? Familia yako kwa ujumla haijambo? Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima...
View ArticleTuzo Ya Lulu Michael Yamliza Mama Kanumba
Tuzo ya Mtayarishaji Bora wa Filamu Afrika Mashariki, iliyotwaliwa na Mbongo,chozi mama wa aliyekuwa nyota wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa, tambaa na Risasi Mchanganyiko liujaze...
View ArticlePicha: Raisi Magufuli Amtembelea Maalim Seif katika Hoteli ya Serena kwa...
Rais Magufuli akisalimiana naKatibu mkuu waCUF Maalim Seif Sharif Hamad ndani ya Serena Hoteli alipoenda kumjulia hali leo march 9
View ArticleHabari Mbaya Kwa Wapaka Poda...Poda Zadaiwa Kusababisha Kansa
Kuna ne.no moja tu linaloweza kusemwa kwa sasa, kuwa tumekwisha, baada ya kubainika kuwa poda iliyotumika kwa miaka mingi nchini, ambayo ni maarufu kama Johnson’s Baby Powder inadaiwa kusababisha kansa...
View ArticleMwamuzi wa Kike Jonesia wa Tanzania Achakuguliwa Kuchezesha Kombe la Dunia
Mwamuzi wa kike wa Kimataifa wa Tanzania mwenye beji ya FIFA, Jonesia Rukyaa ameteuliwa kuungana na waamuzi kutoka nchini Kenya kuchezesha mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la Dunia kwa...
View ArticleBaada ya Maneno Mengi Kusemwa Kuhusu Mr NICE Leo Ameachia Video Mpya..Itazame...
Msanii mkonge wa muziki, Mr Nice ameachia video yake mpya ya wimbo ‘Kioo’. Video imeandaliwa na director Jeef Mlapon Itazame Hapa Alafu Utoe Maoni yako
View ArticleKigogo wa Serikali Amnasa Mkewe Nyumba ya Kulala Wageni Gesti....
Mke wa kigogo mmoja wa serikali Mkoa wa Morogoro ambaye ni mwenyeji wa Wilaya ya Iringa, Kijiji cha Mlangali, Sakina Kisukari, amenaswa akiwa katika nyumba ya kulala wageni (gesti) akiwa na...
View ArticleRais Wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang Akaribishwa Ikulu, Jijini Dar Leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Joseph Magufuli (wa pili kushoto) akimkaribisha mgeni wake Rais wa Vietnam, Mhe. Truong Tan Sang Ikulu Jijini Dar es Salaam 9 Machi, 2016 kwa...
View ArticleMjadala wa Katibu mkuu mpya CHADEMA Kuziba Nafasi Aliyoacha Dr Slaa Wateka...
Ni ukweli uliodhahiri kwamba kwa sasa mjadala ulioteka kila kona ya nchi ni jina la Katibu mkuu mpya CHADEMA.Kwa mujibu wa Katiba ya chama Mwenyekiti ndiye mwenye mamlaka ya kupendekeza jina la Katibu...
View ArticleTRA Yakusanya Trilioni 1.04 Mwezi Februari Ambayo ni Sawa na Asilimia 101% Ya...
Katika Kipindi cha miezi nane kuanzia Julai 2015 hadi Februari mwaka huu, Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imekusanya jumla ya Sh Trilioni 8.5 ikilinganishwa na lengo la kukusanya Sh trilioni 8.6...
View ArticleNina Kazi nzuri.. Gari...Nyumba, Pesa...Lakini Sipati Mke
Mmh nimekuwa mchangiaji mzuri sana wa threads za wengine ila leo limenigusa so nimeamua tu na mimi nianzishe kathread kangu lol. Excuse my gazetiFor a while nimekuwa nikisikia na kuona wakaka wengi,...
View ArticleTazama Picha za WEMA SEPETU Alivyopamba Mapokezi ya Lulu Michael Jana Kutoka...
Kwa Mara ya Kwanza toka habari za ujauzito wa Wema kutoka Jana Amejitokeza hadharani kumpokea rafiki yake Lulu Michael Alipowasili kutoka Nigeria akiwa na tuzo mkononi..Wema Alipendeza Sana na...
View ArticleUkitaka Kupata Msongo wa Mawazo Mpaka ufe oa Hawa Wafuatao
1. Mama mwenye mtoto/watoto aliyeachika akiwa kwenye ndoa2. Mwanamke aliyeachika ndani ya ndoa3. Mwanamke yupo karibu mitandao yote ya kijamii, hakuna habari ya kimbea yeye anapitwa (Tena siku hizi...
View ArticleDunia Inahitaji Kiongozi Namna ya Donald Trump....Hakuna Kuremba Wala...
Kama kuna kupindi amerika na Dunia vinahitaji kiongozi wa namna ya Trump ni sasa, Licha ya kashfa nyingi anazotoa kwa Afrika na nchi nyingine kama Mexico na China ila Dunia ya sasa inamuhitaji sana,...
View ArticleMbunge Ala Kichapo Cha Maana Toka Kwa Mkewe Siku ya Wanawake Duniani...
Mwanasiasa mkongwe Moses Wetang’ula Senator wa kaunti ya Bungoma, ambaye pia ni Waziri wa zamani wa mambo ya nje na Waziri wa zamani wa Biashara nchini Kenya. Jumapili ya tar.6 March (siku mbili kabla...
View ArticleRekodi Yangu Kamwe Haitavunjwa – Mr. Nice
Mr. Nice ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio na kusema kuwa kwa sasa kazi anazofanya ni kwa ajili tu ya mashabiki wake, ili asiwapoteze...
View ArticleMaongezi Ya Rais Magufuli na Rais Truong Wa Vietnam Baada Ya Kukutana IKULU...
Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam Mheshimiwa Truong Tan Sang ambaye amewasili hapa nchini jana jioni tarehe 08 Machi, 2016 kwa ziara ya kiserikali ya siku nne, amepokelewa rasmi na Mwenyeji...
View ArticleKiingereza Kibovu cha Rais Magufuli Chaibua Jipu la Miaka 55
KATI ya mambo mawili yaliyofanywa na Rais John Magufuli wiki iliyopita, moja lilinifurahisha; jingine lilinisikitisha. Nitaanza na lililonifurahisha, anaandika Ansbert Ngurumo.Rais Magufuli, akiwa...
View ArticleSOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamis ya March 10, Ikiwemo ya...
SOMA Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamis ya March 10, Ikiwemo ya JInsi Ajali ilivyoua Wanne na Kujeruhi 25 Dar
View ArticleRais wa Zanzibar Dr. Shein Amtembelea na Kumjulia hali Maalim Seif Jijini Dar...
Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akiambatana na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala bora Mheshimiwa Dkt. Mwinyihaji Makame, amemtembelea kumjulia hali Makamu wa Kwanza wa Rais wa...
View Article