Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1545

Mwigizaji Wellu sengo anasa Mimba tena..

$
0
0
IMEVUJA ! Msanii wa filamu Bongo , Wellu Sengo ,
‘ Matilda ’ , licha ya kuwa na mtoto mdogo ambaye
hajafikisha hata mwaka, inadaiwa tayari amenasa
ujauzito mwingine. Chanzo makini kinaeleza kuwa
ujauzito huo ni wa mmoja wa wasanii wenye majina
maarufu hapa nchini , ambao wamekuwa katika
uhusiano kwa muda mrefu sasa .
Katika mawasiliano kwa njia ya simu , Wellu baada ya
kubabaika, alikiri kuwa na ujauzito na kumtaja msanii
huyo kama ndiye mwenye mzigo, lakini jina lake
linahifadhiwa kwa sasa kwa vile mwenyewe
hakupatikana ili kuzungumzia madai hayo .
“Haa , wewe nani kakuambia habari hizi , lakini aah, ni
kweli bwana nina ujauzito na mwenyewe ni ( anamtaja
jina) . Si unajua tena mambo ya kawaida haya , ” alisema
muigizaji huyo .
Msanii huyo anayetajwa kuhusika na jambo hilo,
ambaye hata hivyo ni mume wa mtu , amekuwa
akionekana kuwa Wellu karibu katika maeneo mengi ya
starehe na kijamii akiwa. Baadhi ya wasanii wamekuwa
wakimdhihaki mwanaume huyo kwa kumuona kuwa
haendani kimuonekano na mwanadada huyo .

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1545

Trending Articles