Mwanamuziki MR BLUE Akata Shauri..Aamua Kumuoa Kabisa Mama wa Mtoto Wake...Picha
Hatimaye Mr blue kaachana na ukapera kaamua kumuoa mama watoto wake Wyder!!! Hongera sana Mr Blue kwa hatua uliyofikia!!!Mr blue simbaaa akiwa na mke wake halali kabisaaa Wyder !!! Hakika Blue nayeye...
View ArticleDj Rommy Jones Kwenye Kashfa ya Ubakaji Sweden...
Inasmekana alimbaka mdada wakibongo aishie sweden anaitwa DeborahShutuma hizo zimewekwa Instagram katika page mbali mbali zinasema Rommy alikuwa na dada huyu nyumbani kwake na kumuwekea kilevi kwenye...
View ArticleMeno ya Rais Magufuli Yang'ata Tena..Atengua Uteuzi wa Kigogo Huyu wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN) Bw. Gabriel Nderumaki.Taarifa iliyotolewa leo tarehe 14 Aprili, 2016...
View ArticleVIDEO: Uhuru Attacks Raila for Embarrasing Him in International Media
President Uhuru Kenyatta has sharply criticised CORD leader Raila Odinga for supposedly tainting his image and that of his Deputy William Ruto in international media.Speaking in Nyandarua, Kenyatta...
View ArticleVigogo CHADEMA Ndani ya Kashfa Nzito ya Kudai Rushwa Ubunge Viti Maalum...
VIGOGO wa juu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameingizwa ndani ya kashfa ya kutumia madaraka na ofisi za chama hicho vibaya. RAI lina taarifa kamili.Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, Salum...
View ArticleMwenendo wa Jengo la Machinga Complex umesababisha Waziri wa Magufuli kutoa...
April 14 2016 yamefanyika maadhimisho ya Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania ambapo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, George Simbachawene amepata fursa ya kuzungumza na akatoa tamko la kuifuta na...
View ArticleJeshi la Polisi Latoa Tamko Kuhusu Matapeli Wanaodanganya na Kujipatia Pesa...
Katika siku za hivi karibuni katika maeneo mbalimbali hapa nchini, kumejitokeza makundi ya watu ama mtu binafsi kutumia mwamvuri wa taasisi fulani kujipatia kipato kwa njia za udanganyifu (utapeli) kwa...
View ArticleImebainika Watumishi Hewa Mwanza Walikuwa Wakikopa Hadi Pesa Bank....Takururu...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza, imebaini kuwepo kwa watumishi hewa zaidi ya watano ambao uongozi wa mkoa huo haukuyawasilisha majina yao kwa Rais Dk. John Magufuli...
View ArticleAliyekuwa Mkurugenzi wa Tanesco, William Mhando Aachiwa Huru Baada ya...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imewaachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando na mkewe Eva Mhando .Mhando na wenzake walikuwa...
View ArticleDiva Ajibu Tuhuma za Jokate na Lulu Kuwatukana Instagram Kupitia Akaunti Feki...
Kuna wakati Jokate na Lulu waliwahi kumshutumu Diva kuwa amekuwa akifungua akaunti zingine za Instagram na kuwatukana.Diva amezungumza na Bongo5 kujibu tuhuma hizo na kusema mambo makubwa ikiwa ni...
View ArticleRais Magufuli: Ningejua Kama Urais Ndio Hivi, Nisingegombea
Wakati Muheshimiwa JPM akiwa mapumzikoni kule Chato aliwasiliana na Kardinal Pengo kwa njia ya simu, muheshimiwa JPM inaonekana alifunguka mambo mengi sana ambayo Pengo ameyaminya, ila kubwa...
View ArticleIshu ya Kubwia Unga, JK Amuonya Mwanamiziki Ray C
Wakati msuguano mkubwa ukiwa umeibuka, Mbongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ akisukuma madongo kwa Magazeti Pendwa ya Global Publishers kwamba yanamtungia uongo kuhusu hali yake ya kurejea kubwia unga...
View ArticleKisa Mil.98 Wema Sepetu Ammwaga Idris Sultan..Sababu zingine zatajwa pia zipo...
Habari ya mtoto mzuri Wema Sepetu ‘Madam’ kumwagana na mpenzi wake, Idris Sultan si ngeni masikioni mwa wapenda ubuyu, imetapakaa kwenye mitandao ya kijamii lakini Amani limenasa sababu kubwa...
View ArticleLugumi atoroka nchini......Adaiwa kupanda ndege usiku wa manane, haijulinani...
Mfanyabiashara anayemiliki Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd, Said Lugumi, ametoroka nchi.Lugumi ambaye anatajwa kuwa na ukwasi wa kupindukia katika kipindi kifupi, aliingia mkataba tata na Jeshi la...
View ArticleRipoti ya NSSF yatua kwa Rais John Pombe Magufuli...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) inayohusu miradi inayosimamiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), imepelekwa kwa Rais Dk. John Magufuli kwa ajili ya kuipitia.Awali...
View ArticleAgizo la Paul Makonda Laanza Kutekelezwa..Ombaomba Waanza Kuondolewa Jijini Dar
Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda limeanza kufanyiwa kazi baada ya karandinga kuanza kuwasomba ombaomba waliojaa katika maeneo mengi jijini hapa.Makonda alitangaza kuanza kuwaondoa...
View ArticleACT-Wazalendo Waishambulia CHADEMA
CHAMA cha ACT-Wazalendo Wilaya ya Shinyanga Mjini kimetamba kuwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, ndicho kitakuwa mpinzani mkubwa wa CCM badala ya Chadema.Katibu wa ACT-Wazalendo, Wilaya ya...
View ArticleNilimpeleka mama Ulaya kumtoa ushamba - Diamond
Amesema ameona kuwa mziki wa bongo fleva umekuwa mkubwa sana duniani kwani alijaza kumbi ambazo hata baadhi ya wanamuziki wa Marekani wakifika wanafanyia kule kwa sababu sio kila msanii wa marekani...
View ArticleBaada ya Kutoka Tour Mwanamuziki Diamond Platnumz Apata Shavu Jingine la...
Wanasema hela zinaenda kwa wale ambao tayari wanazo. Kwa Diamond kuamka na dili mpya kila kukicha kimekuwa ni kitu cha kawaida.Na sasa staa huyo amesaini mkataba wa ubalozi wa tomato sauce tunayokutana...
View ArticlePolisi watatu Wafikishwa Mahakamani Wakituhumiwa Kupokea Rushwa
Polisi watatu wa wilayani Urambo, Mkoa wa Tabora wamefikishwa mahakamani kwa mashitaka ya kuomba na kupokea rushwa.Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Tabora, iliwafikisha askari...
View Article